Popular Post

Home » » Tean Rashid Blog:PICHA YA MWANGA ALIYEKAMATWA AKIWA ANARUKA NA UNGO HUKO SHINYANGA.

Tean Rashid Blog:PICHA YA MWANGA ALIYEKAMATWA AKIWA ANARUKA NA UNGO HUKO SHINYANGA.

She was flyiing with a broom n fell on the ground. Where do u think she is coming from?

Shabi
Hii hali sasa imekua tete, kama mnakumbuka wiki tatu zilizopita tuliwaletea habari ya mwanga aliyekamatwa huko arusha akiwa anawanga kwenye nyumba ya mtu akiwa uchi, sasa hivi hii imetokea huko shinyanga. Bibi huyu alikamatwa baada ya kudondoka na ungo wake aliokuwa akisafiria, bado haijajulikana alikuwa anaelekea wapi......Balaaaa!!!!
Share this video :

0 comments:

Post a Comment

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2013. Team Rashid Blogspot . - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger