Popular Post

Home » » Team Rashid Blog:SUPER MARIO BALOTELLI KWENYE HEADLINES TENA, SASA HIVI NI KUHUSU HUYU MREMBO WAKE MPYA

Team Rashid Blog:SUPER MARIO BALOTELLI KWENYE HEADLINES TENA, SASA HIVI NI KUHUSU HUYU MREMBO WAKE MPYA


.
.
Staa wa soka Mario Balotelli anamiliki headlines kwenye internet sasa hivi baada ya moyo wake kuanguka kimapenzi kwa binti mrembo wa Belgium anaitwa Fanny Neguesha ambae amemtaja kama Mwanamke wa kwanza anaejisikia huru kuwa nae huu ukiwa ni mwezi wa sita toka wameanza kuwa pamoja.
Pamoja na hilo, Balotelli kasema bado anasubiri vipimo vya DNA ili kufahamu kama ni baba wa mtoto wa kike wa mpenzi wake wa zamani Tv Star/model Rafaella Fico, akisisitiza kwamba hana mpango wa kukimbia huyo mtoto, atapenda pia kukutana na kuzungumza na Rafaella.
.
.
.
.
.
.
Mario Balotelli na mpenzi wake wa zamani Fanny Neguesha.
Mario Balotelli na mpenzi wake wa zamani Fanny Neguesha.
Share this video :

0 comments:

Post a Comment

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2013. Team Rashid Blogspot . - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger