Nakumbuka nilishawahi kuzungumza ajuu ya swala la wasanii kujali mawasiliano yao, maana saa nyingine watu wanawatafuta kwa ajili ya kuwapa madili ya shows na vinginevyo, wanaishia kuomba kwa watu wengine ili kuwapata wao..Leo hii Roma ameamua kutoa mawasiliano yake, na hivi ndivyo unaweza kuwasiliana nae.
pichani ni Roma na mama mtoto wake
0 comments:
Post a Comment