Few days ago, kampuni ya VISUAL LAB: NEXT LEVEL ilikuwa iki-shoot video ya Shetta, SINA IMANI...
SINA IMANI, ngoma mpya ya Shetta aliyomshirikisha Rich Mavoko amabyo imetoka jana ilianza shooting yake tayari kwa ajili ya watazamaji na mashabiki wa Shetta...
Video hiyo ambayo imefanywa na Director Adam, imemaliza shooting yake na tukae mkao pale itakapo-drop hivi karibuni...
Check picha zaidi wakati wa shooting wa video hiyo hapa chini...







0 comments:
Post a Comment