Popular Post

Home » » Picha za wabunge waliorushiana Viti na Makonde kwenye Mdahalo uliokuwa Unafanyika

Picha za wabunge waliorushiana Viti na Makonde kwenye Mdahalo uliokuwa Unafanyika



















 







 




 wabunge wapigana kwenye TV show

 Wabunge wawili wapigana makonde wakati wa kipindi cha mdahalo kwene runinga ya kitaifa huku Georgia.
Huko Lebanon wabunge wengine wawili pia warushiana glasi za maji na baadae kupigana ngumi vilevile wakati wa mdahalo kwenye Televisheni. Hii ni baada ya wabunge hao kuhitalafiana kuhusu vita
vinavyoendelea nchini Syria baina ya waasi na serikali ya Rais Basher al Assad.
Share this video :

0 comments:

Post a Comment

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2013. Team Rashid Blogspot . - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger